Thursday 24th, April 2025
@
Madaktari Bingwa wa Masikio, Pua na Koo kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando Mwanza (ENT) watakuwepo hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa -Musoma wakitoa huduma hiyo kuanzia tarehe 16/02/2018 hadi 18/02/2018.
Wananchi wote wenye matatizo hayo mnaombwa kujiandikisha kwenye kitengo cha upasuaji chumba namba 7 Hospitali ya Mkoa wa Mara kuanzia sasa kwa ajili ya kupata huduma hiyo muhimu.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.