Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kitaendesha mafunzi kwa wafanyabiashara kuhusu masuala ya uwekezaji na vivutio vinavyotolewa na Serikali kwa wawekezaji kupitia TIC tarehe 22 Julai, 2024 katika ukumbi wa uwekezaji, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.