• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
MARA REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Seksheni
      • Sehemu ya Mipango na Uratibu
      • Sehemu ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
      • Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Sehemu ya Uratibu wa Sekta ya Uchumi na Uzalishaji
      • Sehemu ya Utawala na usimamizi wa rasilimali watu
      • Sehemu ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Sehemu ya usimamizi, ufuatiliaji na ukaguzi
      • Sehemu ya Miundombinu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Maendeleo ya Jamii
      • Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Musoma
    • Wilaya ya Butiama
    • Wilaya ya Bunda
    • Wilaya ya Rorya
    • Wilaya ya Tarime
    • Wilaya ya Serengeti
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Musoma
    • Bunda DC
    • Bunda Mji
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Mji
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyomba vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Nyansaho ateta na Wazee wa Mara

Posted on: December 24th, 2025

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho leo tarehe 24 Disemba, 2025 amezungumza na Wazee wa Mkoa wa Mara katika eneo la Komaswa, Wilaya ya Tarime na kuwataka wazee kuwahamasisha vijana kutunza amani ya Tanzania.

Akizungumza na wazee hao kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Mara, Mhe. Nyansaho amewataka wazee kuwaongoza vijana kuilinda nchi ya Tanzania kwa kuwahamasisha watu wote katika jamii zao kutunza amani na kuacha kutumika katika kufanya vurugu na kuharibu mali za Watanzania.

Aidha, Mhe. Nyansaho amewapongeza wazee wa Mkoa wa Mara kwa namna walivyohamasika na kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa amani na utulivu na kuuwezesha Mkoa wa Mara kuwa katika mikoa ambayo wananchi wameshiriki kwa wingi na kuwachagua viongozi wao.  

Viongozi wengine walioshiriki katika kikao hicho ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi a Chama cha Mapinduzi Mhe. Fadhili Magaya, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Christopher Gachuma, Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Gowele.

Viongozi wengine walioshiriki ni Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Mara Chifu Masanja, Mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Ndugu Madaraka Nyerere, viongozi wa kimila na wazee kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Mara.

Katika kikao hicho kilichohudhuliwa na wazee zaidi ya 160, wazee wa Mkoa wa Mara wameazimia kwa kauli moja kulinda amani utulivu ya Mkoa wa Mara na Tanzania kwa ujumla na kufanya kikao kama hicho kila mwaka.

Matangazo ya Kawaida

  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU, 2025 August 11, 2025
  • HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA YA TACTICS August 11, 2025
  • KONGAMANO LA VIJANA August 11, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2017 January 31, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Nyansaho ateta na Wazee wa Mara

    December 24, 2025
  • Mtambi: Mara imejipanga kuhakikisha usalama wakati wa sikukuu

    December 24, 2025
  • Serikali yaipongeza Mara kwa mabadiliko

    December 24, 2025
  • Mtambi aomba kupandishwa hadhi kwa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare

    December 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Tovuti Mashuhuri

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Simu: +255282622305

    Simu:

    Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa