• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
MARA REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Seksheni
      • Sehemu ya Mipango na Uratibu
      • Sehemu ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
      • Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Sehemu ya Uratibu wa Sekta ya Uchumi na Uzalishaji
      • Sehemu ya Utawala na usimamizi wa rasilimali watu
      • Sehemu ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Sehemu ya usimamizi, ufuatiliaji na ukaguzi
      • Sehemu ya Miundombinu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Maendeleo ya Jamii
      • Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Musoma
    • Wilaya ya Butiama
    • Wilaya ya Bunda
    • Wilaya ya Rorya
    • Wilaya ya Tarime
    • Wilaya ya Serengeti
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Musoma
    • Bunda DC
    • Bunda Mji
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Mji
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyomba vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mtambi: Mara imejipanga kuhakikisha usalama wakati wa sikukuu

Posted on: December 24th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Mtambi leo tarehe 24 Disemba, 2025 amezungumza na Waandishi wa Habari ambapo amewatakia heri ya sikuu wananchi wa Mkoa wa Mara na kuwahakikishia usalama wakati wote wa sherehe za Krisimasi na Mwaka Mpya, 2026.

Akizungumza na waandishi Mhe. Mtambi amesema Kamati za Usalama ya Mkoa wa Mara imejipanga vizuri na ipo tayari kuhakikisha amani na utulivu unatawala wakati wote wa sikukuu na kuwatoa hofu  wananchi kusherekea sikukuu kwa amani na utulivu.

“Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Mara imejipanga kuhakikisha kuwa Mkoa upo salama ili wananchi washerekee sikukuu kwa amani” amesema Mhe. Mtambi.

Mhe. Mtambi amewataka watumiaji wote wa barabara kufuata sheria na taratibu za usalama barabara na madereva wa vyombo vya moto kuendesha vyombo vyao taratibu na kuacha kutumia kuendesha baada ya kutumia pombe.

Mhe. Mtambi amewataka wananchi kutumia muda huu wa mapumziko kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii vilivyoko katika Mkoa wa Mara ikiwa ni pamoja na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Makumbusho na nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwitongo, Butiama na fukwe za Ziwa Victoria.  

Kanali Mtambi ametumia fursa hiyo kuwashukuru wananchi kwa amani na utulivu waliouonyesha wakati mwaka mzima na kuwataka kuendelea kudumisha amani na utulivu wakati na baada ya sikukuu ili Mkoa wa Mara uwe sehemu salama kwa watu wote.

Wakati huo huo, Mhe. Mtambi amewakumbusha wananchi wa Mkoa wa Mara umuhimu wa kusherekea sikukuu huku wakikumbuka wajimbu wao katika majukumu makubwa ya kifamilia yatakayoanza mwezi Januari, 2026.

Mhe. Mtambi amesema kila familia inafahamu majukumu yake ya Januari ikiwa ni pamoja na kufanya maandalizi ya kupeleka watoto shule, shughuli za kilimo, kulipa kodi na majukumu mengine ya kifamilia na kuwataka wananchi kutumia kwa uangalifu wakati wa sikukuu.

“Haitapendeza inafika Januari watoto wanashindwa kwenda shule kwa sababu wazazi na walezi tumekula sikukuu bila kukumbuka majukumu yetu ya msingi” amesema Mhe. Mtambi.

Matangazo ya Kawaida

  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU, 2025 August 11, 2025
  • HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA YA TACTICS August 11, 2025
  • KONGAMANO LA VIJANA August 11, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2017 January 31, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Nyansaho ateta na Wazee wa Mara

    December 24, 2025
  • Mtambi: Mara imejipanga kuhakikisha usalama wakati wa sikukuu

    December 24, 2025
  • Serikali yaipongeza Mara kwa mabadiliko

    December 24, 2025
  • Mtambi aomba kupandishwa hadhi kwa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare

    December 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Tovuti Mashuhuri

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Simu: +255282622305

    Simu:

    Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa