Posted on: March 11th, 2020
Mkoa wa Mara umeanza kutekeleza kwa vitendo mkakati wake wa kuongeza uzalishaji wa zao la Kahawa kutoka tani 1,500 mwaka 2019 hadi tani 15,000 ndani ya miaka minne ijayo.
Hayo yameelezwa leo na Mku...
Posted on: March 6th, 2020
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ya Kwangwa inatarajia kuanza kutoa huduma katika Jengo la Mama na Mtoto kuanzia tarehe 17 Aprili 2020 baada ya kukamilika ujenzi wa upande huo na huduma zote muhimu ...
Posted on: March 6th, 2020
Uongozi wa Mkoa wa Mara umewataka wanawake wote wenye changamoto mbalimbali za ukatili wa kijinsia kutoa taarifa kwa mamlaka na vyombo vya dola bila kujali makundi yanayowatishia kutoa taarifa ili kuk...