Posted on: August 23rd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee amewahimiza wananchi wote wa Mkoa wa Mara kushiriki kikamilifu katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ili waweze kuhesabiwa.
Akizungu...
Posted on: August 23rd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameeleza kuwa maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika Mkoa wa Mara yamekamilika.
Akizungumza katika matangazo ya moja kwa moja ya...
Posted on: August 20th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 15 Agosti, 2022 jumla ya bilioni 48.7 zimekwishatolewa na Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kupiti...