Wednesday 21st, May 2025
@Bunda
Mkoa wa Mara utapokea mbio za Mwenge wa Uhuru tarehe 15 Agosti, 2025 kutoka Mkoa wa Simiyu na utakimbizwa katika Mkoa wa Mara hadi tarehe 24 Agosti, 2025 utakabidhiwa katika Mkoa wa Mwanza kupitia Wilaya ya Ukerewe. Kauli mbiu ya mwaka huu "Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu"
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa