Friday 27th, December 2024
@Viwanja vya Mkendo
Maazimisho ya siku ya wauguzi duniani yanafanyika kila mwaka.Kwa mwaka maazimisho hayo Kitaifa yatafanyika MKoani Mara Manispaa ya Musoma Viwanja vya Mkendo. Maazimisho hayo yatatanguliwa na kutolewa kwa huduma mbalimbali za uuguzi kuazia tarehe 07-11/05/2018 katika viwanja vya Mkendo na kilele cha maazimisho hayo ni tarehe 12/05/2018. Wananchi wote mnakaribishwa kupata huduma hizo ambazo zitatolewa bure. Mgeni rasmi atakuwa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama(Mb).
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa