Watumishi wote waliokusanya vyeti kwa ajili ya uhakiki (IV, VI na Ualimu) angalia jina lako katika orodha hapa chini. Kama jina lako halipo fika Ofisi Chumba Na.66/67 Utawala.
Mwisho wa zoezi hili ni Tarehe 31/05/2017. Kuangalia orodha hii bonyeza hapa.majina watumishi walio hakikiwa NECTA RS MARA.pdf
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: P.o.Box 299 Musoma
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa