Mkoa wa Mara unatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Arusha tarehe 4 Julai, 2023 katika uwanja wa Shule ya Msingi Robanda, Wilaya ya Serengeti. Ukiwa Mkoa wa Mara Mwenge wa Uhuru utatembelea Halmashauri zote 9 na kukabidhiwa katika Mkoa wa Mwanza katika Kisiwa cha Ukerewe tarehe 13 Julai, 2023.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: P.o.Box 299 Musoma
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa