Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara inapenda kuwakaribisha wadau wote ambao wako tayari kufanya kazi na Mkoa katika kusambaza madawa na Vifaa tiba katika Hospitali, Zahanati na Vituo vya Afya Vilivyoko Mkoa wa Mara.
Wote mnakaribishwa kutuma maombi
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: P.o.Box 299 Musoma
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa